Wauzaji na Wasambazaji wa Mabati Bora na Imara Nchini Tanzania

BIDHAA ZILIZOPO NA ZINAZOPATIKANA KIWANDANI KWETU

versatile

COVERMAX SHEETS

Mabati ya Covermax yametengenezwa kulingana na ujenzi asilia wa Kirumi. Mabati haya yana muundo mwanana wenye kuvutia hasa kwenye paa lenye mwinuko mkali. Covermax imeundwa kutokana na mitindo iliyokubalika ya pembezoni mwa bahari Italia, na kinaipa nyumba yako muonekano upendezao kimtindo.

roman tiles 2

ROMANTILE SHEETS

Kigae cha Romantile kina muonekano wenye mvuto na muundo uliokubalika na wasanifu wakuu tangu zamani. Wasanifu na wajenzi wa karne ya 21 wameendelea kuvutiwa na muundo huu wenye mtindo uliozoeleka na kukubalika. Mabati Bomba wameunda kigae hiki chenye historia maridadi kwa matumizi yanayokidhi mahitaji ya karne ya sasa.

VERSATILE SHEETS

Mabati ya versatile yametengenezwa kulingana na ujenzi asilia. Mabati haya yana muundo mwanana wenye kuvutia hasa kwenye paa lenye mwinuko mkali. Versatile kimeundwa kutokana na mitindo iliyokubalika ya pembezoni mwa bahari Italia, na kinaipa nyumba yako muonekano upendezao kimtindo.

resincot

RESINCOT SHEETS

Mabati ya Resincot ni mabati yenye muundo unaopendeza kwa usanifu wa kisasa au wa jadi. Mabati haya yana muonekano wa paa la mawe na umbo lake thabiti linaipatia paa lako uimara na upekee. Kinapatikana kwa rangi tofauti asilia, na pia katika mpangilio wa kipekee wa rangi mbili kwa pamoja.

OFA YA USAFIRI BUREEE!

Ukinunua Kuanzia bati 80 utapatiwa ofa ya kusafirishiwa  bure mpaka ulipo, mkoa wowote uliopo. Pia utapatiwa misumali kilo 5 bure!

roofing-nails

MISUMALI

Tunauza misumari bora na imara ya kuezekea bati. Bei zetu ni nafuu na rafiki kwa kila mtu.

Ubora wa Mabati na Vigae Kutoka Jenga na Bati Bomba

USALAMA

Vigae na mabati yetu yanaezekwa kwa kulazwa na kufungiwa kwenye kigae cha juu yake, kigae cha chini yake, vigae viwili pembezoni mwake na kwenye rafta. Hii inafanya paa  kuwa thabiti na salama dhidi ya wizi au upepo mkali.

KUPIMWA NA KUKAGULIWA

Kila kigae kinakaguliwa kwa mkono kuhakikisha ubora unaofanana kwa vigae vyetu vyote. Pia sisi hupima bidhaa zetu na za washindani wetu kwenye maabara yetu kuhakikisha kuwa  inazidi kuwa bora kuliko kigae kingine chochote.

UZITO

Kwa kuwa na kilo 7 tu kwa kila mita ya mraba (7.0kg/m²), mabati na vigae vyetu vinaweza kukuokolea gharama kubwa za muundo wa paa lako (yaani rafta, kenchi, papi n.k.), msingi na usafiri. Tani 1 ya vigae vya  inaezeka sawa sawa na tani 10 za vigae vya saruji au vya udongo.

UTENDAJI KATIKA HALIYA HEWA

Mabati na vigae vyetu vina uwezo mkubwa wa kuhimili hali za hewa mbalimbali kama vile mvua kubwa, upepo mkali na joto kali. Vina uwezo wa kudumu katika hali zote za hewa bila kuharibika na hayapati kutu.

UJENZI WA PWANI

Mabati na Vigae vyetu vimethibitishwa kuwa na uwezo wa kudumu kati ya mara 5 mpaka 7 zaidi ya mabati ya kawaida. Kama unaishi pembezoni mwa bahari,  Jenga na Bati Bomba ndio chaguo sahihi kwako hasa kwa sababu ya waranti yetu ya miaka 10.

BIDHAA ZILIZOPO NA ZINAZOPATIKANA KIWANDANI KWETU

KWA WALIOPO MIKOANI UNAWEZA KULIPIA KUPITIA:

CRDB BANK

JINA LA AKAUNTI: BATI BOMBA (T) LTD

ACCOUNT NO: 015 042 797 4000

MFANO WA RISITI AMBAO MTU WA MKOANI AMELIPIA NA KUPELEKEWA MABATI YAKE.

risiti
Jaza fomu hii Kuwasiliana Nasi / Kuagiza Mabati na Vigae

Mawasiliano Zaidi

0625 705 063,   0752 920 059

Dar es Salaam, Tanzania.